JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Takururu ichuguze kwa kina wabunge

Wiki iliyopita, Spika wa Bunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, alifanya mabadiliko ya nafasi mbalimbali za viongozi wa Kamati za kudumu za Bunge.   Habari tuliyochapisha leo inaonesha kuwa Spika Ndugai amechukua hatua hizo kutokana…

Wasaliti wa Chama Cha Mapinduzi

Tumesikia kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kipo mbioni kuwashughulikia wanachama wake wanaodaiwa kukisaliti chama chao wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka jana. Ni uchaguzi ule wa kihistoria ambao tulishuhudia ushindani mkubwa. Haijulikani CCM itatumia njia gani kuwapata wasaliti wake kwa haki….

Fukuto kali Mwalimu Nyerere University (2)

Kuna tatizo kubwa sana katika suala la hili, wahadhiri wengi katika idara ya Elimu na taaluma za jinsia wanafundisha masomo wasiokuwa na ubobevu nayo. Mfano: i. Mhadhiri ana shahada ya uzamili katika uongozi wa elimu, anafundisha historia kwa wanafunzi wa…

Bulyanhulu waomba Prof. Muhongo awasaidie

Waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa Acacia Bulyanhulu, wamemuomba Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo awasaidie. Zaidi ya wafanyakazi 1,375 wa Kampuni ya Acacia Bulyanhulu ya Shinyanga na Acacia North Mara mkoani Mara, wamehoji kiburi cha mwajiri kuwatimua kazi…

Mchechu aibadili sura Dar

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) chini ya Mkurugenzi Mkuu, Nehemia Mchechu limefanikiwa kubadili sura ya jiji la Dar es Salaam kwa kujenga nyumba bora za makazi na biashara. Wakati wananchi walio wengi wamekuwa wakiishi mbali na Jiji la Dar…

Bandari yamliza mfanyakazi miaka 22

Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika kashfa nyingine baada ya kudaiwa kufanya makato makubwa kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi yasiyojulikana yanapelekwa wapi. Edrick Katano ni miongoni mwa wafanyakazi wengi waliokatwa makato yasiyo na maelezo. Kabla…