Jafo afungua mkutano Baraza la Mawaziri wa Bonde la Mto Nile

washiriki mbalimbali wakiwa katika Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Bonde la Mto Nile, unaofanyika Leo Agosti 19, 2022, Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Maji, Juma Aweso akizungumza katika Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Bonde la Mto Nile, unaofanyika Leo Agosti 19, 2022, Jijini Dar es Salaam, kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi wa Mkutano huo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo, akiwa pamoja na viongozi wengine Katika mkutano huo.