JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Makamu wa Rais ashiriki mkutano wa Jumuiya ya Afrika, Karibian na Pasifiki – Malambo Guinea

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 11 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za…

Mume amchinja mwanaye, amjeruhi mke naye ajinyonga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Igunga MWANAUME mmoja mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu, Kata ya Mwamakona, Tarafa ya Igurubi, Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora amemchinja mtoto wake mchanga aliyekuwa na umri wa miezi miwili na kumjeruhi mke wake. Akitoa taarifa kwa…

Iran: Uaminifu ni muhimu kumaliza mzozo na Marekani, Israel

Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amezipongeza juhudi za Pakistan za usuluhishi kati ya nchi yake, Marekani na Israel. Licha ya pongezi hizo, amesema uaminifu unahitajika ili kuutatua mzozo huo. Ameyasema hayo katika mazungumzo yaliyofanyika kwa njia ya simu Jumamosi na…

Papa Leo atoa wito kwa watu wa Monaco kutenda mema

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amewataka wakaazi wa taifa tajiri la Monaco kutumia utajiri wao, ushawishi na imani yao ya Kikatoliki kutenda yaliyo mema. Ameyasema hayo akiwa katika ziara ya siku moja nchini humo. Akizungumza baada…

Tanzania yang’ara kimataifa kwa usimamizi bora wa deni la Serikali

Na Joseph Mahumi, WF Serikali ya Tanzania imeendelea kung’ara katika jukwaa la kimataifa baada ya kuibuka mshindi wa jumla wa mwaka katika Tuzo za Usimamizi wa Deni la Umma za Jumuiya ya Madola na tuzo ya Ofisi Bora Kanda ya…