Author: Jamhuri
Benki ya Maendeleo Plc yapata faida maradufu 2022
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Benki ya Maendeleo Plc imepata faida ya shilingi Bilioni 1.3 mwaka 2022 ukilinganisha na faida ya shilingi milioni 587 ambapo ni sawa na ongezeko la zaidi ya mara mbili ya faida hiyo. Hayo yamesemwa Jijini Dar es…
WETCU wapitisha bajeti ya maendeleo ya Bil. 1.83/-
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika wa Wakulima wa Tumbaku Mkoani Tabora (WETCU 2018 LTD) wamepitisha mapendekezo ya bajeti ya mapato na matumizi ya sh bil 1.833 kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Akiwasilisha bajeti hiyo kwa niaba…
Mifugo 2,225 yakamatwa ikisafirishwa bila kibali
Jeshi la Polisi Nchini kupitia kikosi cha Kuzua na kupambana na Wizi wa Mifugo (STPU) katika operesheni mbalimbali wamefanikiwa kukamata jumla ya mifugo 2,225 ambayo ilikua inasafirishwa bila kufuata utaratibu ambapo mifugo hiyo iliingizwa katika mapori tengefu pamoja na vyanzo…
CCM haitaacha kuhoji watendaji wa Serikali
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema CCM hakiko tayari kuacha kuhoji na kufuatilia kwa ukaribu miradi mbalimbali ya kimaendeleo na ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali. Chongolo ametoa Kauli hiyo leo Januari 30, 2023 katika Kata ya…





