Author: Jamhuri
Nondo feki zazua balaa Siha
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) imeanza uchunguzi kuhusu tuhuma zinazoikabili kampuni moja ya uuzaji wa vifaa vya ujenzi mkoani Kilimanjaro, inayodaiwa kuiuzia serikali nondo feki zisizo na ubora. Kampuni hiyo ambayo kwa sasa jina lake tunalihifadhi…
Tukio la Papa Francis Vatican latikisa dunia
Baba Mtakatifu, Papa Francis, katika hali isiyotarajiwa amebusu miguu ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, akimsihi pamoja na wenzake kuhakikisha nchi hiyo hairudi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe. Papa Francis amemwomba Rais Kiir na makamu wake wa awali,…
Kauli ya Dk. Bashiru ni mwanga kwa nchi yetu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amezungumza maneno mazito ambayo kwa yeyote anayeitakia heri nchi yetu yamemgusa. Maneno aliyoyasema yanaweza yasiwafurahishe wengi, hasa ndani ya chama chake, lakini huo ndio ukweli wenyewe. Ameonya juu ya mmomonyoko…
NINA NDOTO (15)
Mambo ni mengi muda mchache “Muda ni kitu tunachokihitaji sana, lakini ndicho kitu tuna chokitumia vibaya,” anasema William Penn. Siku hizi ukipita mitaani utasikia watu wakisema, “Mambo ni mengi, muda mchache.” Ukweli ni kwamba mambo si mengi wala muda…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (10)
Wiki iliyopita nilieleza kuwa leo nitaeleza wakati wa kuwasilisha maombi ya leseni chini ya kifungu cha 14 unapaswa kuipitisha hatua zipi. Katika sehemu hii ya 10, naomba kufafanua hili. Fomu yako ya kuomba leseni ni lazima ianzie ngazi ya chini…
Katika kushindwa kuna mbegu za ushindi
Ushindi ni mtihani. Si kila anayepata ‘A’ darasani atapata ‘A’ katika maisha. Si kila anayepata daraja la kwanza kwenye mitihani atapata daraja la kwanza kwenye maisha. Ushindi ni mtihani. Katika kila kushindwa kuna mbegu za ushindi, na katika kila ushindi…





