Author: Jamhuri
Tusishangilie kuua upinzani
Nichukue fursa hii kuwapa pole ndugu, jamaa na marafiki wa Ruge Mutahaba, pamoja na Watanzania wote walionufaishwa na kipawa cha mzalendo huyu. Umati wa watu waliojitokeza na wanaoendelea kujitokeza kumlilia Ruge unadhihirisha wazi aina au muundo wa kibinadamu wa Ruge….
Yah: Nafasi za viongozi wasaidizi
Salamu zangu nyingi sana kama mchanga wa pwani, tena ule msafi, ziwafikie hapo mlipo, hasa nyie mlio mbali na upeo wangu wa macho. Najua mnaendelea vizuri na wengi wenu mnakumbuka mema mengi ya miaka mingi na kuyafananisha na mapya ya dunia…
Wafitini msiue nia ya wakombozi wa Afrika
Fitina na pekepeke ni tabia zinazofanana, zinazoelewana na zina nguvu ya kuvunja mipango ya maendeleo iliyopo na kubomoa mafanikio yaliyopatikana kwa gharama kubwa ya mapenzi, hisani, maarifa, nguvu, utu na umoja. Tabia hizi hazizuki mithili ya uyoga msituni, bali huandaliwa…
Luiza Mbutu aeleza siri ya kutozeeka
Luiza Mbutu wakati wote huonekana msichana kutokana na umbo lake dogo linalomtuma kunengua jukwaani. Ni msanii wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’, aliyejiongezea sifa lukuki kwa kujichanganya na wanenguaji wenzake jukwaani, sambamba na sauti yake nyororo anapoimba. Licha ya…
Manchester United kufanya maajabu?
Kipute cha Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) wiki hii kinaendelea na leo kutakuwa na mchezo mmoja, miamba ya Hispania, Real Madrid, ikikaribishwa na timu ya Ajax katika mchezo wa marudio utakaofanyika Uwanja wa Johan Cruijjf nchini Uholanzi. Katika mchezo huo…
Wafuja mamilioni
Ufisadi wa fedha za kilimo cha miwa na kiwanda cha sukari vilivyobuniwa na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious Luoga, ndio uliomfanya Rais John Magufuli, amng’oe kwenye nafasi hiyo, JAMHURI limebaini. Mradi huo ulibuniwa na Luoga kwa kigezo cha kuongeza…



