Author: Jamhuri
MPITA NJIA
Bunge na madereva wa wabunge…! Umri wa Mpita Njia (MN) unatosha kumfanya awe na kumbukumbu ya mengi – kuanzia zama za ukoloni hadi uongozi wa Awamu hii ya Tano. Anakumbuka zama zile za ubaguzi ambapo Mzungu alikuwa mtu wa…
Wawekezaji waanza na elimu Ulanga
Kampuni ya uchimbaji madini ya kinywe – Mahenge Resources imejitolea kuboresha sekta ya elimu katika Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro. Kampuni hiyo kwa kushirikiana na serikali ya wilaya imechangia Sh milioni 16 kwenye harambee maalumu iliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya…
Mlungula wadaiwa kuvuruga vigogo TFDA, Jiji Mwanza
Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) Kanda ya Ziwa imeingia ‘vitani’ na Halmashauri ya Jiji la Mwanza ikizuia maofisa wa jiji hilo kufanya ukaguzi kwenye maduka ya vipodozi, dawa na maeneo mengine ya kibiashara. Haya yanafanyika huku Ofisi ya…
WHO: Ajali 16,000 zasababisha vifo nchini
Takwimu za Jeshi la Polisi na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusiana na vifo vinavyosababishwa na matukio ya ajali za barabarani Tanzania zimezua hofu ya mwenendo halisi wa usalama barabarani nchini. Desemba mwaka jana, shirika hilo limetoa ripoti yake ijulikanayo…
Rais Magufuli, Dk. Mpango jengeni wafanyabiashara (5)
Katika makala zilizopita nimeshauri Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuanzisha Kitengo cha Kuanzisha na Kukuza Biashara. Ni wiki ya tano sasa nikiwa naandika makala hii kuunga mkono uamuzi wa Rais John Magufuli na Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango, kupiga…
ATCL imefufuka, imesimama, inapaa
1. Tangu Serikali ya Awamu ya Tano imeingia madarakani na kuliboresha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kununua ndege mpya, je, idadi ya abiria imeongezeka kiasi gani tofauti na ilivyokuwa awali? JIBU: Serikali ya Awamu ya Tano imeingia madarakani Novemba…



