Author: Jamhuri
Moto wazidi kusambaa Australia
Kuongezeka kwa joto kunazidi kuleta hali ya tishio kutokana na moto mkubwa unaowaka katika maeneo mengi nchini Australia. Watabiri wa hali ya hewa wameonya kuwa ongezeko hilo la joto litaongeza ukame katika maeneo mengi, hivyo kutoa mwanya kwa moto kusambaa…
Marekani yaibana Iran, zakaribia kuanza vita
Maandamano ya vurugu yaliyotokea wiki iliyopita katika Ubalozi wa Marekani jijini Baghdad ni tukio la hivi karibuni ambalo zinazisogeza Marekani na Iran kwenye vita kamili, wachunguzi wa mambo wanaeleza. Maandamano hayo ni mwendelezo wa vurugu zilizoanza baada ya kuondolewa madarakani…
Netanyahu aomba huruma ya Bunge
Waziri Mkuu wa Israel anayekabiliwa na mashitaka mahakamani, Benjamin Nentanyahu, ameliomba Bunge kumpa kinga ya kutoshitakiwa katika kesi tatu za rushwa zinazomkabili. Hii ni hatua ambayo haijawahi kuchukuliwa na kiongozi yeyote wa Israel na wanaharakati wameipinga wakisema inazuia usawa mbele…
Karibu 2020, tumejiandaaje?
Toleo la leo ni la kwanza kwa mwaka 2020. Mwaka 2000 tukiwa Buruguni eneo la Sewa, nilikuwa na marafiki zangu kadhaa. Baadhi Mungu amewapenda zaidi, ila wengi bado tupo. Zilivuma taarifa kuwa mwaka 2000 ulikuwa mwisho wa dunia. Wakati huo…
TRA yaanzisha mnada kwa njia ya mtandao
Watu ambao wanapenda kushiriki mnada kwa njia ya mtandao utakaokuwa unaendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ni lazima wawe na simu ya mkononi au kompyuta mpakato iliyounganishwa na intaneti. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Huduma na…
Huawei yajitutumua licha ya kubanwa na vikwazo
Licha ya vikwazo inavyowekewa na Marekani, Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Huawei ya China imepata mafanikio makubwa katika biashara zake mwaka uliopita. Taarifa kutoka ndani ya kampuni hiyo ambayo inajulikana kwa kutengeneza simu za mkononi, mapato yake yamekua huku…



