JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tumkumbuke nguli Shakila Binti Said (1)

Ni zaidi ya miaka miwili tangu atutoke Shakila Binti Said aliyekuwa nguli katika miondoko ya muziki wa taarabu humu nchini na Afrika Mashariki na Kati kwa ujumla. Wakati wa uhai wake, aliweza kuonyesha umahiri wake wa utunzi na uimbaji wa taarabu…

Nani kuibuka mchezaji bora Afrika?

Wachezaji watano wamependekezwa kuwania tuzo ya BBC ya Mchezaji Bora wa soka barani Afrika mwaka 2018. Wachezaji wote wanacheza soka la kulipwa barani Ulaya. Wachezaji walioorodheshwa mwaka huu ni Medhi Benatia (Morocco), Kalidou Koulibaly (Senegal), Sadio Mane (Senegal), Thomas Partey…

Mwalimu Nyerere alivyoenziwa

Kumbukizi ya miaka 19 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, afariki dunia imemalizika huku wananchi wengi wakitaka kiongozi huyo aenziwe kwa vitendo. Wananchi walioshiriki mijadala kwenye mitandao ya kijamii, redio, televisheni, magazeti na makongamano wameipongeza Serikali ya Awamu…

Tanzania itajengwa na wenye moyo!

SIMULIZI YA KATIBU MUHTASI WA MWALIMU NYERERE   Jumamosi, Oktoba 22, 1966, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vyuo vingine jijini waliandamana kwenda Ikulu wakiwa na mabango yaliyoandikwa maneno machafu dhidi ya Serikali ya Awamu ya Kwanza…

Mo sarakasi

Wafanyakazi wa Colosseum Hotel wamekamatwa na kuwekwa rumande wakihusishwa na utekwaji wa Mohammed Dewji (Mo) wiki iliyopita. Miongoni mwao yumo mtaalamu wa mawasiliano ambaye baada ya tukio hilo amekuwa ‘akiwakwepa’ polisi. Polisi wanatilia shaka hatua ya uongozi wa hoteli hiyo…

Mbakaji afungwa miaka 60 Siha

Mahakama ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, imemhukumu kifungo cha miaka 60 jela mkazi wa Kijiji cha Lawate wilayani humo kwa makosa mawili ya kubaka na kumwingilia kinyume cha maumbile mwanamke (jina tunalihifadhi). Hukumu hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na…