Author: Jamhuri
Mlungula wadaiwa kuvuruga vigogo TFDA, Jiji Mwanza
Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) Kanda ya Ziwa imeingia ‘vitani’ na Halmashauri ya Jiji la Mwanza ikizuia maofisa wa jiji hilo kufanya ukaguzi kwenye maduka ya vipodozi, dawa na maeneo mengine ya kibiashara. Haya yanafanyika huku Ofisi ya…
WHO: Ajali 16,000 zasababisha vifo nchini
Takwimu za Jeshi la Polisi na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusiana na vifo vinavyosababishwa na matukio ya ajali za barabarani Tanzania zimezua hofu ya mwenendo halisi wa usalama barabarani nchini. Desemba mwaka jana, shirika hilo limetoa ripoti yake ijulikanayo…
Rais Magufuli, Dk. Mpango jengeni wafanyabiashara (5)
Katika makala zilizopita nimeshauri Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuanzisha Kitengo cha Kuanzisha na Kukuza Biashara. Ni wiki ya tano sasa nikiwa naandika makala hii kuunga mkono uamuzi wa Rais John Magufuli na Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango, kupiga…
ATCL imefufuka, imesimama, inapaa
1. Tangu Serikali ya Awamu ya Tano imeingia madarakani na kuliboresha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kununua ndege mpya, je, idadi ya abiria imeongezeka kiasi gani tofauti na ilivyokuwa awali? JIBU: Serikali ya Awamu ya Tano imeingia madarakani Novemba…
Rais amethubutu, tumuunge mkono
Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia kumpata kiongozi shupavu. Mungu ni mwema, akamuinua Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli awe Rais wa Tanzania baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2015. Kabla ya uchaguzi huo, Watanzania wengi…
Ndugu Rais tunajenga huku tunabomoa nyumba haitakwisha
Ndugu Rais, Mungu ni mwema. Ni mwema siku zote. Alikuwapo mwanamwema mmoja akiitwa Beni Kiko. Huyu alikuwa mtangazaji ambaye aliwavutia wasikilizaji wengi kwa namna alivyokuwa akiziwasilisha ripoti zake. Siku ya kwanza akiwa Dodoma mnyama mkali alimshambulia mtu hadi kumuua. Beni…





