JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TASAF yajipanga kuongeza umakini

KATAVI Na Walter Mguluchuma Mfuko wa Maendeleo na Hifadhi ya Jamii (TASAF) umeandaa mkakati makini katika kuwabaini wanufaika halali wa mfuko huo. Akizungumza wakati wa kikao kazi cha kuwajengea uelewa wawezeshaji na madiwani wa Halmashauri ya Mpimbwe, mkoani Katavi, Ofisa…

Serikali chombo cha mamlaka tukiheshimu

Ipo dhana kwa baadhi ya watu hapa nchini kwamba Serikali ni Kiongozi Mkuu wa Nchi, kwa maana ni Rais.  Ni dhana ambayo mara kadhaa imezusha malumbano ya kisiasa na kijamii kwa fikra kwamba Rais ni mtu. Iko haja tena ya…

Maisha ni mtazamo

Mafanikio yanategemea mtazamo. Kushinda kunategemea mtazamo. Furaha inategemea mtazamo. Shukrani inategemea mtazamo. Umaskini unategemea mtazamo. Utajiri unategemea mtazamo. Amani inategemea mtazamo.  “Mtazamo ni jambo dogo lakini linafanya tofauti kubwa,” alisema Winston Churchill. Kinachowatofautisha wavumilivu na waliokata tamaa ni jambo dogo…

Yah: Tusipozuia mapema itatugharimu siku zijazo

Nianze waraka wangu kwa kuwakumbusha kuwa sasa ni rasmi tunaelekea kuugawa mwaka, wenye malengo yao naamini wanafanya tathmini walipo na wale ambao walisherehekea mwaka kwa kuangalia tarehe, labda hawana chochote cha kufanyi tathmini zaidi ya kusubiri tarehe ya mwaka mpya….

Tiba ya kupumua hatari

Wakati viongozi wa dini nchini wakisisitiza umuhimu wa kuendelea kumuomba Mungu sambamba na kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona, COVID-19, mjadala wa gharama za matibabu nchini umeshika kasi….

RPC aingilia kati ubabe wa DC

Kamanda wa Polisi (RPC) Mkoa wa Tabora, Sofia Jongo, ameingilia kati ubabe wa Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Komanya Kitwala, akimtaka kufuata sheria katika uongozi wake. Hayo yamejitokeza takriban mwezi mmoja tu baada ya JAMHURI kuripoti taarifa za DC kutumia…