Author: Jamhuri
Jitokezeni kwa wingi siku ya kupiga kura-Samia
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Pwani Mgombea urais wa ChamaCha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga Oktoba 29, mwaka huu kwa sababu kuna usalama upo wa wa kutosha. Amesema kutokana na mahudhurio mazuri ya…
Norway yaipongeza WorldVeg kwa utafiti, uhifadhi wa mbegu za asili Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Arusha Serikali ya Norway imeipongeza Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Uendelezaji wa Kilimo cha Mbogamboga – World Vegetable Centre (WorldVeg), Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, iliyopo Tengeru, mkoani Arusha kwa kazi kubwa ya utafiti…
Samia kujenga Bandari ya Bagamoyo, mtandao wa gesi
Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media-Kibaha Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema endapo akichaguliwa kuongoza atahakikisha anajenga bandari ya Bagamoyo. Akizungumza na maelefu ya wananchi wa Mkoa wa Pwani kwenye uwanja wa Sabasaba mjini Kibaha wakati…
Matthias Canal aongoza upatikanaji mil.85/- ujenzi wa kanisa Kiomboi – Iramba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya WAZOHURU MEDIA Mathias Canal amewaongoza Viongozi wa dini, Wadau wa maendeleo na Waumini kwenye harambee ya ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania-KKKT Usharika wa St…
DC Kiteto awataka wananchi kuchangamkia fursa za EACOP
Na Mwandishi Wetu, JamhueiMedia, Kiteto Mkuu wa Wilaya ya Kitete Bw Remidius Emmanuel amewataka wananchi wa Wilaya hiyo kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotolewa na Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) zikiwemo za kusambaza bidhaa mbalimbali kwenye…
JK amhakishia Samia ushindi wa kishindo
Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media,Kibaha Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan atapa kura zisizokuwa na mfano katika mkoa wa Pwani. Kikwete ametoa kauli hiyo leo Septemba 28 alipopewa nafasi ya kuwasiliana…