JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Dk Mwiny: Kamera za usalama barabarani kudhibiti ajali Z’bar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imeanza kuweka mfumo wa kamera za usalama barabarani ili kuimarisha utii wa sheria, kurejesha nidhamu na kudhibiti ajali zinazotokana na ukiukwaji wa sheria za…

Rais Samia ateta na viongozi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), huku akisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya…

Makamu wa Rais amtembelea Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini…

Wazazi wahimizwa kuwachanja watoto kinga ya Saratani ya mlango wa kizazi

Na Mwandishi Maalumu , Dodoma Wazazi na walezi nchini wametakiwa kuwapeleka watoto wao wa kike wenye umri wa miaka 9 hadi 14 kupata chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi ili kuwakinga dhidi ya ugonjwa huo unaoongoza kwa vifo miongoni…

Zoezi la uvutaji nyaya awamu ya pili eneo la Kikombo na Mkonze katika mradi wa Chalinze – Dodoma kuanza kesho

📌TANESCO yasema baadhi ya Mikoa ya Kanda ya Kati, Kanda ya Magharibi, Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Kusini Magharibi na Kanda ya ziwa kupata umeme kwa ratiba maalumu 📌Lengo ni kumpisha Mkandarasi kuendelea na utekelezaji wa Mradi huo wa kusafirisha…