Author: Jamhuri
Guterres alaani jeshi kuchukua madaraka nchini Madagascar
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini Madagascar baada ya wiki kadhaa za maandamano ya umma dhidi ya utawala wa Rais Andry Rajoelina. Guterres amekosoa mabadiliko ya uongozi yasiyozingatia katiba na ametoa mwito…
Papa Leo XIV: Kushindwa kuzuia njaa duniani ni dhambi
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ameikosoa dunia kwa kushindwa kuzuia mamilioni ya watu kufa kwa njaa. Papa amesema kuruhusu binaadamu wengine wafe kwa njaa ni kushindwa kwa pamoja kuchukua hatua stahiki, ni kupotoka kwa maadili na…
Dk Mpango amwakilisha Rais Samia mkutano wa SADC
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ Troika Summit)…
Dk Mwinyi : Amani na umoja nguzo za maendeleo Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Paje Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema chama kitaendelea kusimamia na kulinda misingi ya amani, umoja na mshikamano ambayo imeiwezesha Zanzibar kufikia mafanikio makubwa ya maendeleo katika miaka…
Polisi Pwani yachunguza mauaji ya watu wanne, miili yakutwa pembezoni mwa barabara
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Jeshi la Polisi mkoani Pwani linachunguza tukio la kutatanisha baada ya miili ya watu wanne wasiojulikana kupatikana pembezoni mwa barabara ya kutoka Mapinga kuelekea Kibaha, katika maeneo ya Kidimu-Vingunguti, wilayani Kibaha. Kwa mujibu wa Kamanda…
Wakulima wadogo zaidi ya 747 kunufaika na mradi wa umwagiliaji Geita
NIRC – Geita Zaidi ya wananchi 747 wanatarajiwa kunufaika na mradi wa uchimbaji visima vya Umwagiliaji 36 unaotekelezwa katika kijiji cha Mwilima Mkoani Geita, ambapo visima hivyo vitamwagilia zaidi ya ekari 1440 katika vijiji 32, lengo ikiwa ni kuongeza uzalishaji…





