JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Nchimbi : CHADEMA kususia uchaguzi ni haki yako

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songea KATIBU Mkuu na Mgombea Mwenza Mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema kitendo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutaka kususia uchaguzi mkuu ni haki yao kisheria. Hayo ameyasemwa leo…

Sanku yadhamiria kumaliza tatizo la udumavu nchini

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea. TATIZO la udumavu kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano, wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi katika Mkoa wa Ruvuma linatarajiwa kupungua baada ya Kampuni ya Sanku – Project Healthy Children Tanzania Limited…

Nchimbi kufungua mkutano mkuu wa Jukwaa la Wahariri Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Katibu Mkuu CCM Taifa ambaye pia ni mgombea mwenza kupitia chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ambao unafanyika kesho…

Watu nane wafariki, 31 wajeruhiwa katika ajali Mwanga

Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Mwanga WATU nane wamefariki Dunia na wengine thelathini na moja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani wa Kilimanjaro,…

Tuwaombee wafadhili wanaoendelea kuishika mkono Hospitali ya Haydom – Askofu Malasusa

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Mbulu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ( KKKT) Askofu Dkt. Alex Malasusa amezindua jengo la Mama na mtoto la Hospitali ya Rufaa ya Kilutheri ya Haydom wilayani Mbulu Mkoani Manyara, lenye thamani ya…