JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wahitimu kidato cha nne 2024 kubadilisha machaguo ya tahasusi na kozi kwa njia ya Mlmtandao

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI imekamilisha zoezi la awali la kuingiza kwenye kanzidata taarifa zilizo kwenye Fomu za Uchaguzi za wanafunzi kama zilivyojazwa na wanafunzi wakiwa shuleni na kutoa fursa kwa wanafunzi kuweza kufanya mabadiliko ya machaguo/…

Dk Mpango awaagiza wakimbiza mwenge wa Uhuru kitaifa kifichua ubadhilifu wa fedha za umma bila woga

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewaagiza Wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa kutekeleza wajibu wao kwa juhudi na nidhamu, huku wakifichua vitendo vyote vya ubadhilifu wa fedha za…

Wataalamu wabobezi katika sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi wakutana nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Wataalamu wabobezi katika sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi wamekutana jijini, katika kongamano la siku moja kwa lengo la kujadili mchango wao katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kongamano hilo limeandaliwa mahsusi…

TPA yazitaka sekta za usafirishaji na uchukuzi kuwa ’ chanda na pete’ ili kukuza uchumi

Na Mwandishi Wetu JamhuriMedia, Dar es Salaam SEKTA za Uchukuzi na Usafirishaji zimetakiwa kufanya kazi kwa kushirikiana ili ziweze kuwa na tija katika kuongeza kasi ya ukuaji uchumi hapa nchini. Kauli hiyo imetolewa na Ofisa Masoko Mkuu wa Mamlaka ya…

Uchaguzi, majimbo, TEF 2025

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita nimeandika makala kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Nimewaandika wabunge, mmoja wao akiwa Jerry Silaa wa Jimbo la Ukonga, ambaye jimbo lake lina matatizo mengi kuliko umri…

Miaka mitatu filamu ya ‘Royal Tour’ … Maji, umeme kupandishwa Mlima Kilimanjaro

*Huduma za uokoaji zaimarishwa kukidhi idadi kubwa ya wageni Na MwandishinWetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa) imejiwekea mikakati ya kuboresha huduma kwa wageni wa ndani na nje; JAMHURI linaripoti. Idadi ya watalii wanaopanda mlima huu mrefu…