JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru ampa kongole DED Mtipa kwa kutenga asilimia 10 kikamilifu

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Maswa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ismail Ali Ussi amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Maisha Mtipa kwa kutimiza maelekezo ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ya kutenga fedha…

SMZ kuongeza nguvu katika malezi ya watoto

Na Salma Lusangi, WMJJWW Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema kuwa imeamua kuongeza nguvu katika Programu ya Makuzi, Malezi na Maendeleo ya Awali ya mtoto (ECD) ili kuwa na jamii yenye Afya bora. Akizungumza katika mafunzo ya siku nne kwa…

Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dk Samia mazishi ya hayati Ndugai, aliimarisha ushirikiano

Atoa rai kwa Watanzania kuenzi mema yote aliyoyafanya enzi za uhai wake Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 11, 2025 amemwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Job Yustino Ndugai, yaliyofanyika…

CCM yatafuta bilioni 100 za kampeni, kufanya harambee kesho

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepanga kufanya harambee kwa ajili ya kutafuta shilingi Bilioni 100 za kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Katibu…

Dk Biteko ashiriki mazishi ya Spika Mstaafu Ndugai

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Agosti 11, 2025 ameshiriki mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai yaliyofanyika katika Kijiji cha Sujulile, wilayani Kongwa, Mkoa…

REA yazidi kuhamasisha nishati safi, yatoa bilioni 4.37 kwa JKT

📌JKT yaipongeza REA utekelezaji wa miradi ya nishati safi 📌REA yaiwezesha JKT asilimia 76 ya miradi ya nishati safi 📌Watumishi 7,000 wa JKT kupatiwa Mtungi wa kilo 15 wa LPG pamoja na Jiko lake la sahani mbili kila mmoja 📍Makutupora…