JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kikundi Kazi Kilimo TNBC chaja na maazimio kuboresha sekta ya Kilimo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) kupitia Kikundi Kazi cha Kilimo limekuja na maazimio kutatua changamoto mbalimbali zinazoikumba sekta hiyo hapa nchini sambamba na kuifanya sekta hiyo kuchangia uchumi wa Taifa ipasavyo. Akizungumza…

Trump apeleka wanajeshi zaidi Los Angeles

WAANDAMANAJI wanaopinga kukamatwa kwa wahamiaji wamekusanyika Los Angeles kwa siku ya nne mfululizo. Polisi imesema waandamanaji wanaweka vizuiwizi kwenye barabara kadhaa, na ikatangaza kuzifunga baadhi ya barabara. Hii inajiri baada ya serikali ya Rais Donald Trump kuamuru kupelekwa kwa karibu…

Ukikwamwa na mwiba wa samaki kooni, fanya hivi kuutoa

KITOWEO cha mchuzi wa Samaki ni mlo mzuri sana kwa wale wasiopenda mboga. Kuna aina nyingi ya samaki wanaopatikana, ikiwa ni pamoja na samaki wa baharini na samaki wa maji safi. Watu wengi wamekuwa wakila samaki kwa madai kwamba wana…

Rais Samia kupokea gawio la kihistoria leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, Jumanne, leo Juni 10, 20205 anatarajia kupokea gawio na michango mingine kutoka kwa taasisi za umma na kampuni ambazo serikali ina umiliki wa hisa chache, huku matumaini ya wataalamu…