Author: Jamhuri
Bunge la Ujerumani kupitisha kuzuia kikomo cha ukopaji
Bunge la Ujerumani linalomaliza muda wake linatarajiwa kupitisha mpango mkubwa wa kuzuia ukomo wa serikali kukopa ambao umewasilishwa na vyama vitatu vya CDU/CSU na SPD vinavyotarajiwa kuunda serikali mpya ya mseto. Friedrich Merz anayetazamiwa kuwa Kansela ajaye wa Ujerumani anaupigia…
Putin akataa kusitisha vita, akubali kusitisha mashambulizi ya nishati Ukraine
Rais Vladimir Putin amekataa usitishaji vita wa mara moja na kamili nchini Ukraine, akikubali tu kusitisha mashambulizi kwenye miundombinu ya nishati, kufuatia mazungumzo yake na Rais wa Marekani Donald Trump. Kiongozi huyo wa Urusi alikataa kutia saini usitishaji vita wa…
Wanaanga waliokwama angani kwa miezi tisa warejea duniani
Baada ya miezi tisa angani, wanaanga wa Nasa Butch Wilmore na Suni Williams hatimaye wamerejea duniani. Chombo chao cha angani cha kampuni ya SpaceX kilitua kwa kasi kupitia angahewa ya Dunia, kabla ya miamvuli minne kufunguliwa ili kuwapeleka kwenye pwani…
Miaka minne ya Dk Samia…TRA yang’ara
*Yaandika historia kwa kuvunja rekodi ya makusanyo miezi minane mfululizo *Maboresho, uanzishwaji wa mifumo mipya ya TEHAMA yatajwa nyuma ya mafanikio *Ukaribu kati ya watumishi wa TRA, wafanyabiashara waongeza mapato, kuaminiana *Mwenda: Ifikapo Agosti mwaka huu mambo yatakuwa mazuri kupita…
Ukomo usiishie viti maalum pekee
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Machi 11, 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa taarifa ya mabadiliko yaliyofanywa na Halmashauri Kuu ya CCM Machi 10, 2025. Mabadiliko yaliyotangazwa ni pamoja na kuongeza idadi ya wapiga kura za wagombea katika…
Tume kuongeza mashine vituo vyenye watu wengi
Na Mwandishi Wetu TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema itaongeza mashine za BVR na watendaji katika vituo ambavyo vimebainika kuwa na watu wengi ili kufanikisha uandikishaji na uborteshaji wa taarifa katika Daftari la Kudumu lka Wapiga Kura mkoani Dar…