Author: Jamhuri
Rais Dk Samia ametimiza ahadi zake kwa Watanzania-Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani ameweza kutekekeza miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na watangulizi wake ikiwemo ya Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli. Amesema kuwa Mheshimiwa…
Majaliwa : Toeni mafunzo yanayozingatia soko la ajira
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji halisi ya soko la ajira. “Mahitaji ya soko la ajira tutayajua kwa kufanya tafiti za mara kwa mara kwa ushirikiano…
Wasira amchongea ‘Mo Dewj’ kwa Serikali
*Ni baada ya wananchi kulalamika yametekelezwa muda mrefu, yamegeuka maficho ya nyoka *Asema kama ameshindwa kuyaendeleza Serikali iyatumie kwa matumizi mengine *Pia atoa siku 14 kwa mnunuzi wa kahawa kulipa sh milioni 664 za wakulima Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar…
Lukuvi : Serikali itaendelea kumuenzi hayati Rais Magufuli
Serikali imesema itaendelea kumuenzi Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi ametoa ahadi hiyo kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan. Lukuvi alitoa ahadi…
Maeneo ya kijamii yamepewa kipaumbele kufikiwa na umeme – Kapinga
Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini umetoa kipaumbele kwenye maeneo yanayotoa huduma za kijamii ikiwemo Shule, Taasisi, vituo vya afya, zahanati na maeneo ya visima vya maji kwa sababu ni maeneo yanayotoa huduma kwa…
Bodi ya wakurugenzi TAWA yaanza kikao chake Mbeya
Na Beatus Maganja, Mbeya. Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekutana leo Machi 18, 2025 Jijini Mbeya Kwa ajili ya kuanza kikao chake cha Kawaida cha 30 cha Bodi hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wake…