JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Deodatus Balile apongeza matumizi ya nishati jua katika kilimo na uhifadhi wa mazao

Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile amewaasa waandishi wa habari nchini kuongeza nguvu katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu matumizi ya nishati ya jua hasa katika sekta ya kilimo na uhifadhi…

Samia kusaka kura Kibaha, Tanga

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan anatarajia kuendelea na kampeni zale cha uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani mkoani Septemba 28,2025. Rais Samia kesho anatarajia kuhutubia mkutano mkubwa katika uwanja…

Wananchi Magu waishukuru Serikali kuwapatia hati za hakimiliki za kimila

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Magu Wananchi wa vijiji vitatu vya Chandulu, Salama, Mwabulenga vilivyopo kata ya Ng’haya wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza wameishukuru serikali kwa uamuzi wake wa kuwapimia na kuwamilikisha maeneo yao kwa kuwapatia Hati za Hakimilki za…

Utendaji kazi Wizara ya Nishati na Taasisi zake waimarika

📌 Wapanda kutoka asilimia 95 hadi 96.16 katika kipindi cha robo mwaka 📌 Mhandisi Mramba asema ongezeko hilo linaakisi utoaji wa huduma kwa wananchi 📌 Apongeza Taasisi kuendelea kuboresha utoaji huduma kwa Wananchi. 📌 Asisitiza mitandao ya kijamii kutumika ipasavyo…

Kigida chaokoa afya na mazingira katika uchechuaji dhahabu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Tume ya Madini imeendelea kutoa elimu kwa wachimbaji kuhusu matumizi ya Kigida (Retort), kifaa kinachosaidia kulinda afya za wachimbaji, mazingira na kupunguza gharama za matumizi ya zebaki katika uchenjuaji wa dhahabu. Akizungumza kwenye Maonesho ya…

Tanzania yaungana na nchi nyingine Duniani kuadhimisha Siku ya Wafamasia

Na Mwandishi Wetu ,JamhuriMedia,Dar es Salaam Hospitali zote hazina budi kuanzishwa kwa huduma za Kifamasia Tabibu katika Hospitali kuanzia ngazi ya Rufaa Kanda,Mikoa hadi vituo cha afya Ameyasema hayo Septemba 25, 2025 Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi…