Author: Jamhuri
Wazee wamshukuru Rais Samia kuboresha huduma kwa ustawi wao
Na WMJJWM-Dodoma Wazee wameshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuweka mazingira mazuri katika utoaji wa huduma za Afya kwa wazee na masuala mengine ya Ustawi wao. Kauli hiyo imetolewa na Kiongozi Mkuu…
CCM London Diaspora watembelea Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar WAJUMBE Chama Cha Mapinduzi CCM Tawi la London Diaspora la Nchini Uingereza wametembelea Baraza la Wawakilishi Zanzibar na kushuhudia shughuli za Baraza hilo ikiwemo uwasilishwaji wa miswada mbali mbali. Wajumbe hao, wakiwa chini ya uongozi…
Naibu Waziri Khamis akagua mabanda ya maonesho ya mazingira
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amehimiza wananchi kuendelea kuunga mkono Serikali katika kutumia nishati safi ya kupikia ambayo ni rafiki kwa mazingira. Ametoa kauli hiyo wakati akitembelea na kukagua mabanda ya…
Kim Jong Un aapa kuendelea kuisaidia Urusi ‘bila masharti’
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameapa kuendelea kuiunga mkono Urusi katika maeneo yote ikiwa ni pamoja na katika vita vyake nchini Ukraine. Vyombo vya habari vya Serikali ya Pyongyang vimesema mapema leo kwamba Kim Jong Un alipokutana na…
Rais Trump azuia raia kutoka mataifa 12 kuingia Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini tangazo la kupiga marufuku raia wa mataifa 12 kuingia nchini humo. Katika awamu yake ya kwanza Trump aliwazuia watu kutoka mataifa saba yenye Waislamu wengi kuingia Marekani. Vyombo vya habari va nchini Marekani…





