Author: Jamhuri
Othman Masoud: Sauti ya Mabadiliko na ushindi wa Zanzibar Oktoba 29
Meneja wa kampeni za Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Ismail Jussa Ladhu, amewataka Wazanzibari kujitokeza kwa wingi ifikapo Oktoba 29 ili kumchagua Othman Masoud Othman, akisema huu ndio wakati wa kurejesha heshima, utu na thamani ya wananchi wa Zanzibar. Akizungumza…
Juma Duni Haji :ACT Wazalendo yashikilia nguvu ya ushindi Zanzibar
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji, amesema hakuna nguvu itakayoweza kuizuia ACT kutoshinda Urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, hata kama uchaguzi huo ungefanyika kwa mwezi mzima na sio kwa siku mbili pekee….
Dira ya Zanzibar mpya itaongozwa na wananchi -Othman Masoud
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katika mchakato wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, jina la Othman Masoud Othman, Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, limezidi kushika kasi. Wananchi wengi wanamwona kama kiongozi mwenye maono ya kuibadilisha Zanzibar kuwa nchi ya wananchi…
Samia: Nilishuhudia zanahati mbovu inatoa huduma kwa wajawazito
Na Mwandishi Wetu,Jamhuri Media-Same Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesimulia namna alivyokwenda Kijiji cha Hedaru wilayani Same ambacho alikuta zahanati mbovu inatoa huduma kwa waja wazito hali iliyomsikitisha. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akihutubia…
Samia atenga bil 1.9/- kununua mitambo kuondoa magugu Mwanga
Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia,Mwanga Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameseama serikali imetenga Sh bilioni 1.9 kwa ajili ya ununuzi wa mitambo ya kuondoa magugu maji Ziwa Jipe lililopo wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Rais Samia…
Dodoma yaingia kwenye ramani ya miji salama kupitia CCTV
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amekagua utekelezaji wa Mradi wa kusimika Kamera za usalama (CCTV) katika jiji la Dodoma, mradi unaogharimu shilingi milioni 473 kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Mradi…





