JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali yaingiza bilioni 17 kwa mchezo kubeti

Michezo ya kubahatisha imeingiza serikalini kiasi cha Sh Bil.17.42 kwa mwaka wa fedha 2024/25, huku ikipanga kukusanya Sh Bil.29.89 kwa mwaka wa fedha 2025/26. Kauli hiyo imetolewa bungeni na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba alipokuwa akiwasilisha mapitio ya utekelezaji…

Mchengerwa awafunda walimu

Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi. Mhe. Mchengerwa ametoa rai hiyo kwenye mkutano wa walimu na wadau…

EWURA yatangaza kushuka kwa bei ya petroli

Na Mwandishi Wetu Bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa mwezi Juni 2025, imeendelea kuleta nafuu kwa watumiaji wa vyombo vya moto, nchini, ikilinganishwa na bei za mwezi Mei 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya…

Trump kukutana na Putin na Zelensky

Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kukutana na marais wa Ukraine na Urusi nchini Uturuki baada ya pande hizo mbili kushindwa kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano. Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alipendekeza kuwa Rais wa Urusi Vladimir…

Raia wa nchi 71 kuingia Tanzania bila Viza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini. Kwa sasa watalii kutoka mataifa mengi zaidi duniani wanaruhusiwa kupata visa wanapowasili (visa on arrival)…

Lee Jae-myung achaguliwa kuwa rais mpya Korea Kusini

Mgombea wa kiliberali nchini Korea Kusini, Lee Jae-myung, ameshinda uchaguzi wa urais nchini humo dhidi ya mpinzani wake wa kihafidhina Kim Moon Soo. Mgombea wa kiliberali nchini Korea Kusini,  Lee Jae – myung ameshinda uchaguzi wa urais nchini humo dhidi ya…