JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Raia wa China watuhumiwa kuingiza kimagendo ‘kiini hatari’ nchini Marekani

Raia wawili wa China wanatuhumiwa kuingiza nchini Marekani kuvu ambayo maafisa wanasema ni “kiini hatari cha kibaolojia”. Yunqing Jian, 33, na Zunyong Liu, 34, wameshtakiwa kwa kula njama, kusafirisha bidhaa, kutoa taarifa za uongo na ulaghai wa viza, Ofisi ya…

TRA kukusanya trilioni 43.10 2025-2026

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Bunge la bajeti likiwa linaendelea Dodoma,Waziri wa Fedha,Dkt Mwigulu Nchemba amesema kwa mwaka wa fedha 2025/26, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kukusanya mapato ya kodi na yasiyo ya kodi ya jumla ya shilingi trilioni 34.10. Hayo…

Rais Mstaafu Kikwete aongoza ujenzi wa Taasisi Himilivu ya Ubia wa Elimu Duniani

Na Mwandishi Wetu Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete ameongoza Mkutano wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (Global Partnership for Education, GPE), ambaye yeye ni Mwenyekiti wake. Mkutano huo unaofanyika Paris, Ufaransa tarehe 3-4 Juni, 2025 unahudhuriwa na Wajumbe…

Tanzania yatoa rai kwa Jumuiya ya Kimataifa kudhibiti vyanzo vikuu vya migogoro duniani

Na Mwandishi Wetu Tanzania imetoa rai kwa Jumuiya ya Kimataifa kuweka mikakati madhubuti ikiwemo kuwashirikisha wanawake katika masuala ya amani na usalama ili kudhibiti migogoro ambayo vyanzo vyake vikuu ni ukabila, ubaguzi wa rangi, itikadi kali na migogoro kuhusu maliasili…

Balozi Nchimbi msibani kwa mzee Mongella

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akisaini kitabu cha maombolezo na kumpatia pole, Mama Gertrude Ibengwe Mongella, familia yake na waombolezaji wengine, kwa msiba wa Mzee Silvin Ibengwe Emmanuel Mongella, ambaye ni mwenza wa…

Majaliwa aziagiza halmashauri kuweka vituo vya kuchakata taka

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri zote nchini zihakikishe kuwa zinaweka vituo vya kuchakata na kutenganisha taka ili zinapozalishwa ziweze kushughulikiwa kwa njia salama na endelevu, kwa lengo la kupunguza mzigo wa taka…