Author: Jamhuri
Wadau wa kilimo mseto waishauri Serikali kupitia wizara tano kutenga bajeti ya kilimo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WADAU wa kilimo mseto Tanzania Bara, wameishauri serikali kupitia wizara tano mtambuka, kutenga bajeti kwa ajili ya kilimo ambacho kinaonesha kuwa na matokeo chanya kwa wakulima wadogo. Ushauri huo umetolewa na wadau hao waliokutana kwa…
Mila zinavyowanyima watoto wa Chemba haki ya kutimiza ndoto zao
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Wasichana wengi katika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wamejikuta wakilazimika kuachana na ndoto zao za elimu kutokana na mimba za utotoni, jambo linalochochewa na mila potofu zinazoendelea kuenziwa kwa kisingizio cha kulinda utamaduni. Kijiji cha Kidoka, baadhi…
Guterres: Shambulizi dhidi ya wapalestina lichunguzwe
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa uchunguzi huru wa vifo vya Wapalestina zaidi ya 30 vilivyotokea karibu na kituo cha kugawa misaada kinachoratibiwa kwa ushirikiano Marekani huko Gaza. Wapalestina zaidi ya 30 waliuawa karibu na…
Sera za wahisani hazina athari za moja kwa moja za kibajeti
Na Peter Haule, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa hakuna athari za moja kwa moja za kibajeti kutokana na amri za kimamlaka alizotoa Rais wa Marekani, Dornald Trump za kusitisha misaada kwa Tanzania. Hayo yalisemwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa…
Serikali : Kuna ongezeko la hali ya unene uliokithiri
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema kumekuwa na ongezeko la hali ya unene na unene uliokithiri. Kauli hiyo imetolewa bungeni mjini Dodoma leo na Waziri wa Afya, Jenista Mhagama alipokuwa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha…





