JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Zanzibar kuendelea kushirikiana na wadau Sekta ya Ustawi na Hifadhi ya Jamii

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeeleza kuwa itaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya ustawi na hifadhi ya jamii ili kuhakikisha utimilifu wa afua za hifadhi ya jamii Zanzibar. Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ,…

Dk Samia kumwaga sera za CCM Pwani Septemba 28

Na Mwavua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kampeni mkoani Pwani, Septemba 28, mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake,…

Jenista Mhagama : Serikali kuanza kutoa mikopo ya kilimo kwa vijana

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Jenista Mhagama ambaye ni mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM)Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma amesema Serikali kupitia Wizara ya kilimo itaanza kutoa mikopo ya kilimo kwa vijana, wenye lengo la kuwainua kiuchumi…

Dk Biteko ampa pole Rais Mwinyi, ashiriki mazishi ya kaka yake

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameungana na mamia ya waombolezaji kutoa pole kwa familia ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi…

Majaliwa: Samia ametuondolea changamoto Ruangwa

Na Kulwa Karedia,JamhuriMedia,Ruangwa Waziri Mkuu Majaliwa Kasimu amesema changamoto nyingi zilizokuwepo ndani ya Wilaya Ruangwa zimepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na Rais Samia Suluhu Hassan kupeleka fedha nyingi katika sekta mbalimbali. Majaliwa ametoa kauli hiyo Septemba 24,2025 katika uwanja wa…

Trump :UN imeshindwa kuleta amani duniani

Rais wa Marekani Donald ameukosoa Umoja wa Mataifa akisema umejaa maneno matupu na kwamba taasisi hiyo haisaidii katika kuleta amani ulimwenguni. Rais wa Marekani Donald Trump ameukosoa Umoja wa Mataifa akisema umejaa maneno matupu na kwamba taasisi hiyo haisaidii katika…