JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Shinyanga kunufaika na miradi ya REA wauziwa kwa ruzuku mitungi 13000

📌Kila wilaya kunufaika na mitungi ya gesi 3,255 📌REA yachochea ushiriki wa wanawake katika shughuli za kiuchumi 📌Mradi kupunguza ukataji wa miti unaosababisha mabadiliko ya tabianchi Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeitambulisha kampuni ya Lake Gas Limited ambayo imepewa jukumu…

Ofisi ya Msajili Hazina yaongeza mapato yasiyo ya kodi kwa asilimia 40

Na Tatu Mohamed JamhuriMedia, Dar es Salaam OFISI ya Msajili wa Hazina imerekodi ongezeko la asilimia 40 katika makusanyo ya mapato yasiyo ya kodi ndani ya kipindi cha miezi 11, ikilinganishwa na kipindi kama hicho katika mwaka wa fedha uliopita….

Lissu aonywa na Mahakama kwa ‘No Reform, No Election’, Kesi yake yaahirisha hadi Juni 16

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KESI inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Juni 16, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, huku Mahakama ikimpa onyo kali kwa kutamka maneno bila ruhusa…

Antony achukua fomu kugombea Jimbo la Same Magharibi kupitia ACT -Wazalendo

Na Ashrack Miraji , Same Mwanasiasa kijana kutoka Kata ya Mhezi, Ndg. Anthony Ishika Mghamba, ambaye ni Naibu Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii WA Baraza Kivuli la ACT wazalendo amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT-Wazalendo…

Lissu apandishwa kizimbani

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Dalaam Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu tayari amepandishwa kizimbani leo Juni 2, 2025 kwaajili ya kusubiri kutajwa kwa kesi mbili za jinai zinazomkabili ikiwemo uhaini na kuchapisha taarifa za uongo. Lissu ameingia mahakamani hapo…