JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Daktari Ufaransa aenda jela miaka 20 kwa kuwabaka wagonjwa 229

Mahakama ya Ufaransa imetoa kifungo cha juu cha miaka 20 jela kwa daktari bingwa wa upasuaji ambaye alikiri kuwadhulumu kingono mamia ya wagonjwa, wengi wao wakiwa watoto, kwa zaidi ya miongo miwili. Kesi hiyo iliyodumu kwa miezi mitatu ya Joel…

Trump ‘ampa wiki mbili’ Putin

Rais wa Marekani Donald Trump ameonekana kumuwekea Vladimir Putin makataa ya wiki mbili, akitishia kuchukua mkondo tofauti ikiwa mwenzake wa Urusi bado ataendelea kumrejesha nyuma kwa vitendo vyake. Wakati Urusi ikizidisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine, Trump aliulizwa katika Ikulu…

Waziri Mkuu aendelea kuwashawishi wa Japan kuwekeza nchini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameendelea kuwashawishi wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Japan kuja kuwekeza kwenye sekta za kilimo, afya, uchumi wa buluu, nishati, miundombinu, ufugaji na TEHAMA kwani Serikali imeshaboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Mei 28,…

Atakumbukwa daima mpiganaji wa haki na msomi wa fasihi Ngugi wa Thiong’o

Na Mwandishi Maalum Ngugi wa Thiong’o, gwiji wa fasihi kutoka Kenya na mpigania haki kwa njia ya kalamu, ameaga dunia akiwa na miaka 87. Kazi zake zilijikita katika kupinga ukoloni wa kiakili, na kuhimiza matumizi ya lugha za Kiafrika. Ngugi…

Wananchi Njombe wahamasisha kupata huduma za madaktari wa Rais Samia

Na WAF, Njombe Wananchi mkoani Njombe wameshimdwa kuficha hisia zao mara baada yakupatiwa matibabu na kuamua kuhamasishana wao kwa wao kuhudhuria kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia inayoendea hivi sasa katika halmashauri zote za mkoa huo, kwani muda wa…