JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Trump :UN imeshindwa kuleta amani duniani

Rais wa Marekani Donald ameukosoa Umoja wa Mataifa akisema umejaa maneno matupu na kwamba taasisi hiyo haisaidii katika kuleta amani ulimwenguni. Rais wa Marekani Donald Trump ameukosoa Umoja wa Mataifa akisema umejaa maneno matupu na kwamba taasisi hiyo haisaidii katika…

Tume ya Madini yavunja rekodi ya upimaji sampuli kwa mwaka 2024/2025

Maabara ya Tume ya Madini imevuka lengo la upimaji sampuli za madini kwa mwaka wa fedha ulioisha Juni 30, 2024/2025, baada ya kupima jumla ya sampuli 7684 dhidi ya lengo la 6,800. Hili ni ongezeko linaloashiria ufanisi mkubwa wa maabara…

Dk Samia ashiriki sala fupi na kuweka shada la maua kaburi la hayati Mkapa

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki sala fupi na kuweka shada la maua katika kaburi la Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa. Dkt. Samia kabla ya kushirki sala…

Dk Nchimbi atinga Jimbo la Lupembe Njombe

Picha mbalimbali za matukio ya mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Lupembe, waliohudhuria mkutano wake mdogo wa hadhara wa kampeni…

SAU yaahidi kulinda vyanzo vya maji

Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimesema kwenye ilani yake ya mwaka 2025-2030 kwamba kitaushirikisha umma kulinda vyanzo vya maji pamoja na kutekeleza miradi yote ya maji na kujenga mabwawa makubwa kwa ajili ya…

Ada Tadea kuanzisha kilimo cha kisasa

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ADA TADEA kimesema kitahakikisha kinatumia maarifa zaidi kufufua kilimo na ufugaji wa kisasa. Kupitia Ilani yake ya mwaka 2025-2030 kimesema kitaanzisha mashamba makubwa ya ngano kama vile Basotu, mashamba makubwa ya…