JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wathaminishaji madini wajengewa uwezo

Watakiwa kuwa waadilifu Wathaminishaji wa madini wametakiwa kuwa waadilifu na kutumia taaluma yao vizuri ili kuepuka makosa madogo madogo Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimaliwatu na Utawala wa Tume ya Madini, Nsajigwa Kabigi wakati akifungua kikao cha wathaminishaji…

Mfumuko wa bei waongezeka Kenya

Mfumuko wa bei wa kila mwaka nchini Kenya (KECPI=ECI), unafungua orodha mpya ya ongezeko kwa mwezi wa nne mfululizo hadi 3.5% mwezi Februari kutoka 3.3% mwezi Januari, ofisi ya takwimu ilisema Ijumaa. Mfumuko wa bei wa kimsingi ulisalia kwa 2.0%…

Mkutano wa JPCC wazaa matunda, Waziri Kombo arejea makubaliano muhimu

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amerejea nchini baada ya kushiriki Mkutano wa Sita wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (JPCC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na…

Kanyankole : Punguzo kwa abiria linagharamiwa kikamilifu na Bolt

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUKWAA linaloongoza katika huduma za usafiri wa mtandaoni, linathibitisha rasmi kwamba punguzo linalotolewa kwa abiria linagharamiwa kikamilifu na Bolt. Taarifa hiyo inakuja wakati ambapo kuna dhana potofu kuhusu punguzo la safari zinazotolewa kwa…

Urusi na Ukraine zaendelea kushambuliana

Mashambulizi ya makombora na droni yamesababisha vifo vya watu watatu katika eneo linalokaliwa na Urusi katika mkoa wa Kherson. Shirika la habari la Urusi  RIA limesema watu hao ni mwanamke na mtoto mmoja ambao waliuawa baada ya gari la wagonjwa kushambuliwa…