Author: Jamhuri
Chaumma kuunda sheria matumizi ya akili unde
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeahidi kutunga sheria ya matumizi ya akili unde ndani ya siku 100. Kupitia ilani yake yam waka 2025/2030 kimesema sheria hiyo itakuwa kwa ajili ya maendeleo ya…
Aliyejaribu kumuua Trump apatikana na hatia
Ryan Routh amepatikana na hatia ya kujaribu kumuua Rais Donald Trump kwenye uwanja wa gofu wa Florida Septemba mwaka jana. Mahakama ilimpata Routh, 59, na hatia ya mashtaka yote, ikiwa ni pamoja na jaribio la mauaji ya mgombea mkuu wa…
HRW: Afrika iwakatae wahamiaji wa Marekani
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch, limesema mpango wa Marekani kuwapeleka wahamiaji katika nchi za Afrika unakiuka sheria ya haki ya kimataifa, na lazima ukataliwe. Katika siku za hivi karibuni, Eswatini, Ghana, Rwanda na Sudan Kusini…
Iran yakataa mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani
Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amekataa mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani kuujadili mpango wa nyuklia wa Iran. Hatua hiyo huenda ikaondoa matumaini ya mwisho ya kuzuia kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Matamshi…
Trump alaani hatua za kulitambua taifa la Palestina
RAIS wa Marekani Donald Trump amelaani hatua zilizochukuliwa na mataifa ya Magharibi kulitambua taifa huru la Palestina, huku Marekani ikionekana kutengwa katika uungaji mkono wake mkubwa kwa mshirika wake Israel. Akihutubia Jumanne katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa…
Jenista Mhagama awaahidi wananchi Kata ya Ndongosi neema ya miundombinu ya barabara
Na Cresensia Kapinga, JamuhuriMedia, Songea Mgombea ubunge wa Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jenista Mhagama amewaahaidi wananchi wa kata ya Ndongosi, kuwa Serikali itajenga barabara ya zege kwenye maeneo korofi yenye miinuko na utelezi ili kuhakikisha barabara…