Author: Jamhuri
Kabila : Kongo inaendeshwa kidikteta
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila amesema anapanga hivi karibuni kutembelea mji wa Goma uliodhibitiwa na waasi wanaoungwa mkono na Rwanda wa M23. Kabila aliitaja serikali ya sasa ya Kongo kuwa ya kidikteta baada ya…
Mashambulizi ya Urusi yamesababisha vifo vya watu 12 Ukraine
MAAFISA wa Ukraine wamesema mashambulizi ya Urusi nchini humo yamesababisha vifo vya watu 12 huku jeshi la taifa hilo likitangaza kuyadungua makombora 45 na droni 266 katika mashambulizi hayo. Kituo cha huduma za dharura cha Ukraine kimeelezea mashambulizi hayo kuwa…
Rais Mwinyi awaahidi klabu ya Simba dola laki 1 za kimarekani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuizawadia Klabu ya Simba kiasi cha Dola Laki Moja za Kimarekani endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Dkt. Mwinyi ametoa…
Mavunde : Masoko na vituo vya ununuzi wa madini vyaongezeka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Madini, Athony Mavunde amesema kuwa tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini mwaka 2019, Masoko na Vituo vya Ununuzi vimeongezeka kutoka 42 na 100 mwaka 2020/2021 hadi kufikia 43 na 109 mwaka…
Programu ya MBT kutatua changamoto na kuboresha fursa kwa wanawake – Mavunde
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wizara ya Madini imekamilisha maandalizi ya program ya MBT ambayo itatekelezwa katika kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2025 hadi 2030. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema kuwa Programu hii ni ya kimageuzi…
Miaka minne ya Serikali Awamu ya Sita, pato la taifa sekta ya madini lakua
Na Mwandisi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita, mchango wa sekta ya madini katika Pato la Taifa umeendelea kuimarika na kukua kutoka asilimia 7.3 mwaka 2021, asilimia 9.1 mwaka 2023…





