Author: Jamhuri
Nchi za Afrika, viongozi na wafanyakazi wa Serikali kuendelea kujengewa uwezo -Kilabuka
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha WITO umetolewa kwa nchi za Afrika pamoja na viongozi wake na wafanyakazi wa serikali kuendelea kujengewa uwezo na kupata mafunzo mbalimbali na kujifunza kwa lengo hasa la kuleta tija na matokeo chanya katika.taasisi za umma…
LATRA kuendelea kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora za usafiri
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Udhibiti Usafirishaji Ardhini (LATRA) imesema kuwa itaendelea kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora za usafiri salama na nafuu. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, CPA Habibu Suluo, wakati akizungumza na waandishi wa habari…
MSD yaitembelea taasisi mwenza ya Madagascar
Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) wakiongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda, Nabila Hemed wametembelea Bohari Kuu ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) na kuzungumza na uongozi wa bohari hiyo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Claude Eric Ramanantoanina…
Wakulima, wafugaji watakiwa kujiunga na bima za kilimo
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WAKULIMA na wafugaji nchini wametakiwa kuchangamkia fursa ya bima za kilimo na mifugo ili kulinda uwekezaji wao dhidi ya majanga yanayoweza kuathiri uzalishaji na kipato. Akizungumza kwenye Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma, Kamishna wa…
CUF kuamua nani kupeperusha bendera ya urais Uchaguzi 2025
Na Magrethy Katengu,Jamhuri lMediaDar es Salaam CHAMA cha Wananchi CUF kinafanya Mkutano Mkuu Maalum unatarajiwa kufanyika kesho Agosti 9,2025 kwa lengo ni kupitisha wagombea wa Urais.upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliopendekezwa na…