JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wananchi 4,650 kunufaika na miradi ya umwagiliaji mikoa ya Dodoma, Mwanza na Shinyanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Serikali kupitia Wizara ya Kilimo na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeendelea na utekelezaji wa miradi ya Umwagiliaji ambapo watu zaidi 4,650 wanatarajiwa kunufaika na miradi hiyo katika mikoa ya Dodoma, Mwanza na Shinyanga. Lengo…

Tume yakagua maandalizi ya uchaguzi mkuu mikoani

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, MJaji wa Rufani Jacobs Mwambegele ameendelea na ziara ya kutembelea mikoa ya Mbeya, Iringa na Dodoma kukagua maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ambapo pamoja na mambo mengine alipokea taarifa za…

Spika wa DRC Vital Kamerhe ajiuzulu

Vital Kamerhe, Spika wa Baraza la Chini la Bunge katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, amewasilisha jana waraka wa kujiuzulu Jumanne baada ya kukabiliwa na shinikizo kutoka kwa ombi linaloungwa mkono na zaidi ya wengi katika bunge la taifa. Wakati…

THBUB yawakumbusha waandishi wa habari kuzingatia maadili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imewashauri waandishi wa habari nchini, kujiepusha na vitendo vya rushwa ama kutangaza au kuchapisha habari zinazoweza kuvunja maadili na hata kuchochea vurugu katika kuripoti…

Tunduru kujengwa kituo cha kupooza umeme – Dk Samia

Na Kulwa Karedia,Jamhuri Media- Tunduru Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Samia Suluhu Hassan amesema atahakikisha anajenga kituo cha kupoozea umeme katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma. Amesema kituo hicho kitakuwa na uwezo wa kuzalisha megawati 116 za ziada ambazo…