JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Utendaji kazi kituo cha huduma kwa wateja TANESCO wamkwaza – Dk Biteko

📌 Amuagiza Mkurugenzi Mtendaji TANESCO kumchukulia hatua mtaalam aliyemfokea mteja 📌 Ataka Mpango Mahsusi wa Nishati uliosainiwa katika Mkutano wa Mission 300 kupewa kipaumbele 📌 PURA, REA, EWURA zang’ara tathmini ya utendaji kazi Taasisi chini ya Wizara ya Nishati Naibu…

Hivi ndivyo CCM inavyoiishi misingi ya Azimio la Arusha

Na John Francis Haule, JamhuriMedia, Arusha Kila ifikapo Februari 5 kila mwaka CCM huazimisha kumbukizi ya kuundwa kwake ambako kulifanyika mwaka 1977. Hivyo huu mwaka 2025 CCM ina timiza miaka 48 tangu kuasisiwa kwake. Na kwa kipindi hichi chote CCM…

Baada ya kumaliza kazi ya kupeleka umeme vijijini sasa kasi inahamia vitongojini

📌 Asema upelekaji umeme vitongojini umefikia asilimia 52.3 📌 Asisitiza umeme kufika maeneo ya uchimbaji madini Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kuwa hadi kufikia Januari, 2025, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekamilisha upelekaji wa umeme…