Author: Jamhuri
CRDB kuwanufaisha wachimbaji wadogo, yaingia makubaliano na Serikali
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wizara ya Madini kupitia Tume ya Madini imesaini makubaliano Maalum na Benki ya CRDB yatakayorahisisha upatikanaji wa huduma za fedha kwa wachimbaji wadogo wa madini. Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya…
RC Dendego ampa tano Dk Samia utekelezaji kwa vitendo mradi wa nishati safi ya kupiki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMesia, Singida Katika nchi inayokumbwa na changamoto za kiafya, mazingira na umasikini, nishati safi ya kupikia si tu hitaji la msingi bali ni kichocheo cha maendeleo ya kweli kwa watu na Taifa kwa ujumla. Katika kukabiliana na…
TANESCO, REA, wananchi wanaolipa umeme waunganishwe kwa wakati – Salome
šAwasha umeme Kitongoji cha Bugofuma wilayani MisungwišWananchi kufungiwa mita janja kurahisisha ununuzi wa umeme Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) pamoja na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha…
Naibu Waziri Dk Dugange akagua kiwanda cha mbolea, dampo la Pugu
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange amehimiza wananchi kuyatumia madampo kukusanyia taka ili zitumike kama malighafi pamoja na kusafisha mazingira. Ametoa wito huo wakati wa ziara ya kukagua shughuli za uchakati wa…
Iran na Marekani njia panda kuhusu makubaliano ya nyuklia
IRAN na Marekani zinatofautiana kuhusu njia na mikakati ya kuiondolea Tehran vikwazo ili Iran iachane na kile Marekani inachosema ni nia yake yakudhibiti silaha za nyuklia. Afisa mmoja wa Iran aliyezungumza na shirika la habari la Reuters amesema mazungumzo mapya…





