Author: Jamhuri
Rais Samia, hili la msamaha wa faini za ankara za maji, umekonga nyoyo za wananchi
Na Dk. Reubeni Lumbagala Jamani eeeh! Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni mtu bingwa wa huduma za maji nchini. Pamoja na kwamba, serikali yake inafanya kazi usiku na mchana kuboresha maisha ya wananchi katika sekta…
MOI kutoa matibabu bure siku saba Mbagala
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza kutoa matibabu ya kibingwa bobezi bure kwa wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika kambi maalumU ya matibabu iliyoanza Mei 11 hadi…
Jafo aonya vijana kunywa pombe kupita kiasi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, ameitaka jamii kuzingatia matumizi ya pombe kwa kiasi, hasa pombe kali, kufuatia utafiti uliofanywa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) unaoonesha kuwa unywaji pombe kupindukia miongoni mwa…
Runali chagawa pembejeo 3000 kwa wakulima zao korosho Nachingwea
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Nachingwea Wakulima wa zao la Korosho katika vijiji vya Kiparamtuwa na Farmseventine katika WIlaya ya Nachingwea mkoani Lindi wameipongeza Serikali kupitia Wizara ya kilimo na Chakula kwa kuwapatia pembejeo za ruzuku aina ya Simba Sulphur Dust…
Uboreshaji bandari ya Karema unaofanywa na Serikali kupitia TPA wavutia wawekezaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi MABORESHO na ujenzi wa miundombinu ya kisasa inayofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imevutia wawekezaji katika Bandari ya Karema iliyopo Ziwa Tanganyika, mkoani Katavi, Wilaya ya Tangabyika. Hayo yameelezwa leo…





