JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Dk Biteko aongoza waombolezaji kuaga miili ya wanafunzi waliofariki saba kwa radi Geita

๐Ÿ“Œ Rais Samia atuma salamu za pole, agharamia misiba na mazishi ๐Ÿ“Œ Mkuu wa Wilaya Bukombe aishukuru Idara ya Afya kwa juhudi za maokozi ๐Ÿ“Œ Viongozi wa dini wahimiza uvumilivu na uhimilivu kipindi cha majonzi Na Ofisi ya Naibu Waziri…

CCM yajivunia mafanikio yake ndani ya miaka 48

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Fadhili Maganya amesema Chama hicho kinajivunia miaka 48 ya kuzaliwa kwake ambapo maadhimisho yake yanatarajiwa kufanyika Februari 5 mwaka huu Jijini Dodoma kwa kuanza na kongamano Februari 2…

Uzee siyo hoja, bado nina uwezo – Wasira

Chama Cha Mapinduzi kimesema hakitayumbishwa na hoja dhaifu za upinzani kuhusu maendeleo huku ikiutaka upinzani kujipanga vema kuhimili kishindo chake. Aidha, Makamu Mwenyekiti wa CCM โ€“ Bara, Stephen Wasira ametoa angalizo kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)…

DeepSeek AI, mapinduzi katika teknolojia na wasiwasi wa Marekani

Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya akili bandia (AI) imepiga hatua kubwa, na mojawapo ya maendeleo makubwa ni kuzinduliwa kwa DeepSeek AI. Hili ni jukwaa la AI kutoka China ambalo limeleta mapinduzi katika sekta ya teknolojia kwa kutoa huduma…

Mahujaji 15 wafariki kwenye mkanyagano India

Zaidi ya watu 15 wamefariki kwenye mkanyagano katika mkusanyiko mkubwa wa kidiniย  huku wengine wakijeruhiwa. Mahujaji wa kihindu walikuwa wakikimbilia mito mitakatifu kwa ajili ya ibada ya kujitakasa, waliwakanyaga watu waliokuwa wamekaa pembezoni mwa mito hiyo na kusababisha janga hilo….

20 wafariki baada ya ndege kuanguka Sudan Kusini

Ndege ndogo iliyokuwa ikibeba wafanyakazi wa kisima cha mafuta kilichopo Jimbo la Unity, Sudan Kusini, imeanguka na kuua watu 20. Waziri wa Habari wa Jimbo la Unity, Gatwech Bipal, amesema ndege hiyo ilianguka asubuhi jana Jumatano kwenye uwanja wa ndege…