JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

M23 wasonga mbele, Papa atoa wito kusitishwa kwa mapigano Congo

Waasi wa M23 wameripotiwa kuendelea kusonga mbele kuelekea mji wa Bukavu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, huku Rwanda ikionya kwamba kundi hilo linaweza kuchukua udhibiti wa maeneo mengine zaidi. Balozi wa Rwanda katika eneo la Maziwa Makuu, Vincent…

RC Sendiga amuapisha DC Mbulu

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amemuapisha Michael Semindu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbulu baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Januari 25, 2025 kuwa mkuu wa wilaya hiyo. Hafla ya uapisho huo imefanyika katika ukumbi wa…

‘Walipa kodi Pwani watoa mapendekezo kupunguza utitiri wa kodi’

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Baadhi ya wadau walipa kodi Mkoani Pwani, wametoa mapendekezo kwa Serikali kusaidia kupunguza utitiri wa kodi na ushuru ili kulinda mitaji yao na kujipatia faida kulingana na biashara zao. Aidha, wameomba Serikali iweke mazingira bora…

Barabara za ndani Jiji la Arusha zapata mwarobaini

Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media, Arusha Watendaji wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wametakiwa kuwa wazalendo katika matumizi sahihi ya mitambo mipya iliyonunuliwa kwa lengo la matengenezo ya barabara za ndani ya jiji ambazo hazina viwango vya TARURA. Akizindua mitambo…

Wadau wakutana Arusha kujadili masuala mbalimbali ya nishati

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Wadau mbalimbali wa nishati kutoka ndani na nje ya nchi wamekutana mkoani Arusha kwa lengo la kujadili namna bora ya kuboresha sekta hiyo na kuweza kuweka mikakati ya pamoja katika kufikia malengo ya Dira ya…