Author: Jamhuri
Mkuu Shule Sekondari Ruvuma aipa tano Serikali kwa kuwapa milioni 278.4
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Shule ya Sekondari Ruvuma mwalimu Atemius Komba ameishukuru Serikali kwa kuwapatia pesa sh. milioni 278.4 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 11 na matundu ya 8 ya choo cha wasichana. Hayo…
RC Ruvuma akagua mradi wa maji wa miji 28, amtaka mkandarasi kukamilisha mradi kwa wakati
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed ametembelea na kukagua mradi wa maji wa miji 28 kutoka Wizara ya Maji unaotekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa mlMazingira Manispaa ya Songea…
HAIPPA PLC yapania kukuza uchumi nchini, yawapongeza wakulima kwa ununuzi wa hisa
Na Helena Magabe,JamuhuriMedia, Musoma Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umma (HAIPPA PLC), Boniphance Ndengo amewaeleza waandishi wa habari kuwa amegundua wakulima ni wanunuaji wazuri wa hisa kupitia kampuni ya Umma ya HAIPPA PLC ambayo makao yake makuu ni Musoma Mjini…
Serikali kuboresha ufaulu sayansi, hisabati na TEHAMA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeeleza kuwa inachukua hatua madhubuti kuboresha ufaulu wa masomo ya Sayansi, Hisabati, na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) nchini. Wizara ilisema kuwa walimu wa masomo hayo wanapatiwa mafunzo…
Rais Samia aja na mpago mahsusi wa kitaifa kuhusu nishati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Mpango Mahsusi wa Kitaifa kuhusu Nishati (National Energy Compact) uliozinduliwa leo unalenga kuiwezeseha Tanzania kuunganisha umeme kwa kaya milioni 8.3 zaidi ifikapo mwaka 2030. Taarifa iliyotolewa…
PPAA mguu sawa kurasimisha matumizi ya moduli Kanda ya Ziwa
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA), imewasihi wadau wa Ununuzi wa Umma Mikoa ya Kanda ya Ziwa kushiriki mafunzo ya matumizi ya moduli ya kuwasilisha na kushughulikia rufaa na malalamiko kwa njia ya kielektroniki katika…