JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Papa Leo XIV atangaza sera za uongozi wake

KIONGOZI Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ametangaza Jumamosi sera za uongozi wake, huku akiitaja teknolojia ya akili mnemba kama moja ya changamoto kubwa kwa ulimwengu. Papa Leo alisema teknolojia hiyo ya akili mnemba (AI) inahatarisha harakati za…

Ukraine: Tupo tayari kusitisha mapigano kwa siku 30

Ukraine imesema iko tayari kwa usitishaji mapigano na Urusi kwa muda wa siku 30 kuanzia siku ya Jumatatu. Hayo yameelezwa na waziri wa mambo ya kigeni wa nchi hiyo Andrii Sybiha katika wakati viongozi wa mataifa manne ya Ulaya wako…

Serikali kununua mitambo kusafishia Ziwa Victoria

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema Serikali ipo kwenye mchakato wa mwisho wa kununua mitambo mitatu ya kisasa kwa ajili ya kushughulikia changamoto ya magugu maji katika Ziwa Victoria. Mhe. Mtanda amesema…

Tanzania Afrika Kusini zakubaliana kushirikiana kiuchumi

Tanzania na Afrika Kusini zimekubaliana kuendelea kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja ili kukuza Ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa Mkutano kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe….

Dk Biteko afurahishwa mwitikio Tulia Marathoni Mbeya

Na Manka Damian ,JamhuriMedia , Mbeya NAIBU Waziri Mkuu ,Dkt.Dotto Biteko amesema kuwa amefurahishwa kuona mwitikio mkubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mbeya katika mashindano ya Riadha Mbeya BETIKA Tulia Marathoni ikiwa ni msimu wa tisa . Dkt.Biteko amesema hayo…