JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Majiko banifu teknolojia ya kisasa inayotumia mkaa kidogo

📌Yanapunguza sumu ya mkaa kwa watumiaji 📌 Ni rafiki kwenye utunzaji wa mazingira 📌Majiko banifu 1000 kuuzwa kwa bei ya ruzuku katika Maonesho ya Madini Geita Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Imeelezwa kuwa majiko banifu yanayotolewa kwa bei ya ruzuku…

Jeshi la Israel lapeleka divisheni ya 36 Gaza

Jeshi la Israel, IDF limepeleka divisheni yake ya 36 Gaza City, ambayo ni ya tatu, kama sehemu ya mashambulizi yake ya ardhini dhidi ya wanamgambo wa Hamas. Awali divisheni hiyo inayojulikana pia kama Ga’ash ilifanya operesheni kusini mwa Gaza ikiwemo…

Majaliwa asema CCM imejipanga kuendelea kuleta maendeleo 

*Asema Rais Dkt. Samia na Dkt. Mwinyi ni Madaktari wa Maendeleo *Asisitiza kuichagua CCM ni kuchagua Maendeleo. *Awaomba wananchi kumchagua Mhe. Hemed kwa kishindo Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi…

CUF : Kupiga kura ndio njia pekee ya kumchagua kiongozi unayemtaka

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa ndio njia  pekee itakayowezesha kumchagua kiongozi wanayemtaka. Pia…

Dk. Nchimbi imani huzaa imani

Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Nyasa Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kumteua kwake kuwa mgombea mwenza. Dk Nchimbi ametoa kauli hiyo, wakati akizungumza na mamia ya wananchi wa Wilaya ya Nyasa mkoani…

Aahidi ujenzi reli mpya Mtwara,Nyasa

Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media-Nyasa Mgombea urais wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amasema serikali itajenga reli ya kisasa yenye urefu wa kilomita 1,000 kutoka Mtwara mpaka Mbamba Bay mkoani Ruvuma. Rais Samia ametoa kauli hiyo…