JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CBE kuadhimisha miaka 60 ya kuanzishwa kwake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) yanayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa wiki ijayo. Akizungumza na waandishi…

Kwaya ya watoto Westminster yatoa msaada Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ess Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imepokea msaada wa mashine tatu za kisasa za uchunguzi na tiba kwa wagonjwa wenye changamoto mbalimbali za macho kutoka Shule ya Kwaya ya Watoto Westminster ya nchini Uingereza…

Askari walioonekana wakichukua rushwa barabarani wakamatwa Dar

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata askari wawili wa usalama barabarani walioonekana kwenye video iliyosambaa mitandaoni wakifanya vitendo visivyo na maadili vya kuchafua taswira ya Jeshi la Polisi. Akizungumza…

Korea Kaskazini yafyatua makombora ya majaribio

Serikali ya Korea Kusini imesema kuwa Korea Kaskazini imefyatua makombora ya majaribio ya masafa mafupi kuelekea baharini, huku rais mteule wa Marekani, Donald Trump, akiwa karibu kuingia madarakani. Tukio hili limetokea wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Takeshi…

Msichana wa kazi, mganga wa kienyeji waiba watoto wawili Dar

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili Husna Gulam (3) na Mahdi Mohamed (4) walioibiwa na dada wa kazi kwa kushirikiana na mganga wa kienyeji nyumbani kwao…

Korti ya Kijeshi Uganda kumshtaki Besigye kwa usaliti

KIZZA Besigye, mwanasiasa mkongwe wa upinzani na hasimu wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni, alitekwa nyara akiwa jijini Nairobi Novemba 2024 na kurejeshwa Uganda alikofunguliwa mashtaka katika mahakama ya kijeshi. Kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, atafikishwa…