Author: Jamhuri
Mambo yaiva, maandalizi uzinduzi wa Mwenge wa Uhuru kitaifa kwa asilimia 96
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mkoani Pwani yamefikia asilimia ili kufanikisha kufanya tukio hili kuwa kubwa la kihistoria. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha, tarehe…
Jopo la wasuluhishi laundwa kumaliza mzozo wa Kongo
Mkutano wa kilele uliowaleta pamoja wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika, SADC, na Jumuiya ya Afrika Mashariki, umeunda jopo la wasuluhishi katika mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kwa mujibu wa tangazo…
Maambukizi a kifua kikuu yashuka kwa asilimia 40
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Tanzania imepunguza maambukizi mapya ya ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa asilimia 40 hatua inayoiweka nchi katika mwelekeo sahihi wa kufanikisha lengo la kutokomeza ugonjwa huo ifikapo mwaka 2030. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Kifua…
Marekani, Urusi zakabiria muafaka kuhusu Ukraine
Maafisa wa Marekani na Urusi wamekamilisha mazungumzo ya siku moja jana Jumatatu, wakiangazia pendekezo la mapatano ya kusitisha vita baharini kati ya Kyiv na Moscow, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kidiplomasia zinazonuwiwa kuchangia mazungumzo mapana ya amani. Lakini hata…
Waandishi kadhaa wakamatwa Uturuki
Vyombo vya usalama Uturuki vimewatia nguvuni waandishi kadhaa waliokuwa wanaripoti kuhusu maandamano ya kupinga kukamatwa kwa meya wa Istanbul. Mamlaka ya Uturuki zimewakamata waandishi kadhaa wa habari siku ya Jumatatu kama sehemu ya shinikizo dhidi ya maandamano yaliyoibuka baada ya…
Mgogoro Mashariki mwa DRC wazidi kuibua wasiwasi wa kikanda
Hali ya wasiwasi inazidi kuikumba Kongo Mashariki katikati mwa mapigano kati ya vikosi vya serikali na waasi wa M23 huku nchi jirani ya Burundi ikielemewa na mzingo wa wakimbizi, na Angola ikijitoa kuwa msuluhishi. Mgogoro unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya…