Author: Jamhuri
Njiwa wa mapambo wanaouzwa kwa laki nne hadi milioni moja, wageuka kivutio Nanenane
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma NJIWA wa mapambo waliowasilishwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) yanayoendelea jijini Dodoma wamegeuka kivutio kikubwa kwa wananchi kutokana na muonekano wao wa kipekee pamoja na bei yao. Mfugaji wa njiwa hao,…
Trump kukutana na Putin
Rais wa Marekani Donald Trump amesema huenda akakutana na rais wa Urusi Vladimir Putin hivi karibuni kabisa. Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi habari katika ikulu yake ya White House mjini Washington ni lini atakapokutana…
DC Machali avutiwa na ubunifu wa UDSM Maonesho na Nanenane
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MKUU wa Wilaya ya Mkalama, Moses Machali, amekipongeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya sayansi, teknolojia na ubunifu nchini, akieleza kuwa chuo hicho kina nafasi ya kipekee…
TPHPA yazindua kifaa cha DNA kutambua magonjwa ya mimea kwa dakika 20
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imezindua rasmi kifaa cha kisasa chenye teknolojia ya utambuzi wa vinasaba (DNA) chenye uwezo wa kutambua kwa haraka visababishi vya magonjwa, wadudu na changamoto…
ACT Wazalendo: Tengenezeni wagombea watakaoleta mwelekeo chanya nchini
Na Magrethy Katengu,JamhuriMediaDar es Salaam MWENYEKITI wa Chama cha ACT -Wazalendo Othman Masoud Othman,amewataka wanachama wa chama hiko wasiwaangushe Watanzania kwa kutengeneza wagombea, si wa kutafuta kura za ACT Wazalendo bali kunajenga mwelekeo wa kisera na kisiasa kuwaondoa Wananchi kwenye…