JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Polisi Songwe yaimarisha ulinzi sikukuu ya mwaka mpya

Ikiwa leo ni Januari Mosi mwaka 2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limejipanga vizuri kuhakikisha wananchi wanasherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu. Kauli hiyo imetolewa Januari 01,2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa…

Rais Samia : Mwaka 2024 ulikuwa na mafanikio

SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, KWA WATANZANIA, TAREHE 31 DISEMBA, 2024 Ndugu Wananchi; Tarehe 31 Desemba, tumehitimisha mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kwa neema…

Matumizi kuni, mkaa taasisi za umma mwisho Desemba 31, 2024 -Majaliwa

WAZIRI Mkuu wa Nchi, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo  yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Desemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi…

Waziri Mavunde asimamisha uchimbaji madini kwenye mto Zila kijiji cha Ifumbo wilayani Chunya Mbeya

▪️Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa na NEMC ▪️ Timu ya Wataalam kufanya tathmini kwa kina na kutoa taarifa ya athari ya Mazingira ▪️Akemea wananchi kuharibu mali za mwekezaji ▪️Asisitiza Sheria na kanuni kufuatwa…

Askari 23 wakabiliwa na adhabu ya kifo kwa kuliasi jeshi

Kiasi ya wanajeshi 23 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na adhabu ya kifo au vifungo vya miaka 10 hadi 20 jela. Ni baada ya kufikishwa mahakamani kwa mashitaka ya ubakaji, kuasi jeshi na uhalifu mwingine. Msemaji wa Jeshi…

NMB yadhamini Kombe la Mapinduzi 2025

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar BENKI ya NMB, imetangaza udhamini wa Sh. Milioni 50 wa michuano ya Kombe la Mapinduzi ya Zanzibar (Mapinduzi Cup 2025), inayotarajia kuanza Januari 03, 2025 kwenye Uwanja wa Gombani visiwani Pemba, ambayo itashirikisha timu za…