Author: Jamhuri
Udanganyifu soko la bima nchini wapatiwa tiba
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Wadau kutoka sekta ya bima nchini na nje ya nchi wameungana pamoja kutafakari changamoto na mambo mbalimbali ya kisekta ili kuanzisha msingi thabiti wa kuondokana na changamoto za udanganyifu katika soko la bima. Akizungumza kwenye…
Harmonize: Inahuzunisha sana, nimemuachia Mungu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tangu kuibuka kwa sakata la msanii Ibraah kutaka kujiondoa katika lebo ya Konde Gang, kwa mara ya kwanza Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Lebo hiyo, Rajab Abdul โHarmonizeโ amerekodi video fupi akieleza vitu vingi…
INEC haitamvumilia atakayehusika na kuvuruga zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Na Mwandishi Wetu, Morogoro. Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amesema Tume haitamvumilia mtu yeyote atakayehusika na kuvuruga zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kujiandikisha katika vituo zaidi ya…
DP Word yapaisha mapato na kufikia trilioni 8.26
Maboresho na ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika Bandari ya Dar es Salaam umeleta mafanikio ya kuongezeka kwa mapato yatokanayo na shughuli za kibandari, ambapo katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai, 2024 hadi kufikia Februari 2025, mapato yatokanayo na Kodi ya…
Marekani, Iran kufikia makubaliano ya nyuklia
Rais wa Marekani Donald Trump anasema kuwa Iran “imekubali” masharti ya mkataba wa nyuklia na Marekani. Trump alielezea mazungumzo ya hivi punde kati ya nchi hizo mbili, ambayo yalimalizika Jumapili, kama “mazungumzo mazito” ya “amani ya muda mrefu”. Hapo awali,…
Mashambulizi ya anga ya Israel yawaua takriban watu 62
Mashambulizi ya anga ya Israel yawaua takriban watu 62, huku mashirika yakionya kuhusu njaa ashambulizi ya anga ya Israel yawaua takriban watu 62, ulinzi wa raia unasema,. Mashirika mashirika ya kibinadamu pia yanaonya kuhusu njaa kutokana na ukosefu wa chakula…





