Author: Jamhuri
NATO kuwasilisha kiwango kikubwa cha silaha kwa Ukraine
Muungano wa kijeshi wa NATO unaratibu ufikishaji wa kawaida wa silaha kubwa kwa Ukraine baada ya Uholanzi kusema itatowa mfumo wa ulinzi wa anga, risasi na msaada mwengine wa kijeshi wenye thamani ya euro milioni 500. Sweden pia ilitangaza siku…
Zambia, Malawi kuinkgia Mareani kwa dola 15,000
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kwamba raia wa Zambia na Malawi sasa watatakiwa kulipia dhamana ya dola 15,000 ili kuweza kuingia nchini Marekani kwa vibali vya biashara ama utalii. Uamuzi huo unaanza kutekelezwa tarehe 20 Agosti kama…
NLD yazindua ilani yake ya uchaguzi 2025
Chama cha National League for Democracy (NLD) kimezindua rasmi Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ikiwa ni hatua muhimu kuelekea katika mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyowasilishwa…
Mikoko ni dhahabu ya bahari, dira ya maendeleo ya uchumi wa buluu
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Tanga Mikoko ni moyo wa uchumi wa buluu. Bila mikoko,mazingira baharini yangekuwa dhaifu, maisha ya viumbe wa pwani yangepungua na uchumi wa jaii za pwani ungeathirika. Pamoja na faida hizo baadhi ya watu hukata mikoko kwa…