JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ushirikiano wa wadau ni muhimu kufikia lengo la nishati safi ya kupikia la 2034 – Salome

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa agenda ya nishati safi ya kupikia, ambapo upatikanaji wa huduma hiyo umeongezeka kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi asilimia 28.6…

Mkuu wa Jeshi la Magereza afungua mafunzo ya utekelezaji wa programu za urekebishaji kwa maafisa ustawi wa jamii

Na Ssgt Mawazo Mtondo, Dodoma Mkuu wa Jeshi la Magereza, CGP Jeremiah Yoram Katungu, leo Juni 10, 2026, amefungua rasmi Mafunzo kwa Maafisa Ustawi wa Jamii kuhusu Mwongozo wa Utekelezaji wa Programu za Urekebishaji katika Ukumbi wa Rugimbana, Msalato, jijini…

Manispaa Kibaha yatoa milioni 991 kwa vikundi 51

Na Mwavua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Vikundi 51 vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu katika Manispaa ya Kibaha, mkoani Pwani, vimenufaika na mikopo yenye thamani ya Sh milioni 991.54 kupitia asilimia 10 ya mapato kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Vikundi…

Mramba aitangaza Tanzania Canada, asema ni kitovu cha uwekezaji nishati

Calgary, Canada Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Felchesmi Mramba, ameendelea kuitangaza Tanzania kimataifa kwa lengo la kuvutia uwekezaji zaidi katika Sekta ya Nishati akieleza kuwa Tanzania ni kitovu cha uwekezaji wa nishati barani…

Ujumbe wa Tanzania washiriki maadhimisho ya kuzuia utumikishwaji wa mtoto Geneva

Na: OWM (KAM) – Geneva, Uswizi Ujumbe wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeungana na mataifa mengine katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Utumikishwaji wa Mtoto yaliyofanyika tarehe 9 Juni, 2026 katika Makao Makuu ya Umoja…

MSD yaihakikishia Kamati ya Bunge ubora wa huduma katika utekelezaji wa bima ya afya kwa wote

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Bohari ya Dawa (MSD) imeihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI kuwa itaendelea kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afya zenye ubora, kwa wakati na kwa kiwango kinachohitajika kuelekea utekelezaji wa…